Elimu katika Uislamu
TEHRAN (IQNA) – Wawakilishi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al Mustafa na Chuo Kikuu cha Kampala cha Uganda wametia saini Mkataba wa Maelewano unaolenga kuboresha ushirikiano wa kielimu baina ya nchi hizo mbili.
Habari ID: 3475746 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/07